Maskini Nandy Amwaga Machozi....Ashindwa Kuimba Jukwaani

Nandy Amwaga Machozi....Ashindwa Kuimba Jukwaani
Msanii Nandy ameshindwa kuimba  cover ya wimbo wa  muimbaji wa muziki Injilj, Angel Bernald uliokuwa ukipendwa na Ruge Mutahaba.

Nandy alifanya Rimix  hiyo ya "Nikumbushe Wema Wako" wenye maneno yanayogusa, yakisisitiza wema wa Mungu wakati wa magumu.

Wimbo huo ulikuwa kati ya nyimbo bora sana kwa marehemu Ruge na akiwa hospitali ulipigwa mara nyingi sana kumfariji.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad