Maskini Pieree wa Liquid Afunguka Mazito Baada ya Kupewa Makavu Live na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda

Maskini Pieree wa Liquid Afunguka Mazito Baada ya Kupewa Makavu Live na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda
 __
Reposted from #pieree_liquid -  Nashukuru sana kwa uthamani mlionipa watanzania mnenisaidia nimepiga hatua kwenye maisha yangu.. nilikuwa ni mtu wa furaha nashukuru mmeniongezea sana furaha.. si kila mtu anapenda mafanikio yako wengine huyachukia, lakini tukumbuke anayetoa riziki ni Mungu pekee, jaribu kuvuta picha maisha yako miaka 10 iliyopita hadi leo hii umefanikiwa.. wakati sijithamini Mungu alinipatia watanzania kunipa uthamani..Ni wachache sana wanakumbuka walipotoka mara baada ya kupata mafanikio. usimdharau mtu kutokana na madhaifu au kutokana na mafanikio yako.. muwe na jumapili njema🙏🏾

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. changamoto hazikwepeki katika maisha ya mwanadam na usingekua mlev hata makonda asingekujua kwahyo nataka kusema mungu ana makusud na mtu yoyote kwa hatua yoyote unayopitia asidharau mtu mlev kwa sababu yeye ni mkuu wa mkoa no One knows tomorrow
    ����
    kila mtu ana njia yake ya kupata ridhiki

    ReplyDelete
  2. MAKONDA KUMBE NIKIJANA MPUMBAFU KIASI HICHI,YANI HATA KAMA MTU ANAMAPUNGUFU HUWEZI KUMDHALILISHA MBELE YA HADHARA KAMWE,MBONA WEWE MAKONDA UNAVYETI FEKI NA JINA UNATUMIA NI FEKI LAKINI WATANZANIA WANAKUSTIRI,KWAKWELI ULILOLIFANYA MPAKA UMEIUZI NCHI JIRANI YA BURUNDI

    ReplyDelete
  3. MAKONDA KUMBE NIKIJANA MPUMBAFU KIASI HICHI,YANI HATA KAMA MTU ANAMAPUNGUFU HUWEZI KUMDHALILISHA MBELE YA HADHARA KAMWE,MBONA WEWE MAKONDA UNAVYETI FEKI NA JINA UNATUMIA NI FEKI LAKINI WATANZANIA WANAKUSTIRI,KWAKWELI ULILOLIFANYA MPAKA UMEIUZI NCHI JIRANI YA BURUNDI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad