Maskini, Serengeti Boys yachezea kichapo Uturuki

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys wakiokoa hatari kwekye mchezo uliochezwa leo dhidi ya Timu ya Guinea U17 katika mchezo wa kwanza wa mashindano ya UEFA ASSIST yanayofanyika Uturuki,mchezo uliomalizika kwa Guinea kupata ushindi wa goli 1-0.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad