Mrithi wa Maalim Seif apatikana Lipumba Amtangaza

Mrithi wa Maalim Seif apatikana Lipumba Amtangaza
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba, upande unaotambulika na Msajili wa Vyama vya Siasa amemtangaza Khalifa Suleiman Khalifa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho.

Pia amtangaza Magdalena Sakaya Naibu Katibu Mkuu kwa upande wa Tanzania Bara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad