Mwili wa Ruge Wawili Nchini Waziri Makamba Aongoza Msafara



Mwili wa  Mkurugenzi  wa Vipindi na Uzalishaji  Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba  umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es aalaam pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Group.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad