Mwinjaku "Nani alijua Ruge kazawaliwa New York, Baba yake Proffessor na Mama Dokta? Muhaya wa wapi huyu? Hajikwezi"


Ameandika Mwinjaku

"Ruge hakuwa mpenda KIKI alikimbia sana WAANDISHI wa HABARI maisha yake binafsi hakuweka wazi..,wala hakuwa na acc inst., :

Nani alijua Ruge ni mtoto wa Professor? Nani alijua Ruge mama yake ni msomi ni Dr.? (Labda watu wake wa karibu kama mimi ) hata wazazi wake ni juzi tu Magazeti yamewaweka

Nani alijua Ruge kazawaliwa New York?Muhaya wa wapi huyu? Hajikwezi

Alivaa simple mnooo, lkn amekufa *KISHUJAA* na kuzikwa na watu *MASHUHURI na MAARUFU*

Tupande mbegu njema, panda nenda zako siku ya mwisho zitaota tu, tena kwa Ukubwa usiyoutarajia ! ( Hakuna Star mbele yake )"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad