PICHA: Rais Magufuli Aongoza Maelfu Ya Waombolezaji Kuuaga Mwili Wa Marehemu Ruge Mutahaba Jijini Dar Es Salaam

PICHA:Rais Dkt Magufuli Aongoza Maelfu Ya Waombolezaji Kuuaga Mwili Wa Marehemu Ruge Mutahaba Jijini Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad