PICHA: Rais Mstaafu Kikwete, Waziri Mwakyembe Wakiwa Msibani kwa Ephraim Kibonde
0
March 09, 2019
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine mbalimbali wameshawasili nyumbani kwa Marehemu Ephraim Kibonde Mbezi Africana jijini Dar es salaam kwaajili kushiriki ibada ya kuaga. Mwili unatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni
Tags