Profesa Jay Ajitokeza na Kumkingia Kifua Pierre Liquid Dhidi ya Maneno ya Mkuu wa Mkoa

From @professorjaytz  -  Isoookey Isoookey @pierelikwidi,
Hata Mbuyu ulianza kuota mdogo Mdogo Kama MCHICHA, Na ili Dhahabu iweze kung’aa ipasavyo ni lazima ipitie kwenye MOTO Mkali sana, Keep ya Head UP!
Ni Marufuku kabisa kukata TAMAA na Mapambano lazima yaendelee, PIGA kazi Zaidi na Zaidi kwa kutumia hicho Kipaji chako na Neema ambayo Mungu ameiweka Ndani yako, kwani yeye ndiye anayejua Fungu la kila mmoja wetu na yeye ndiye anayejua kesho yetu, Endelea Kumtanguliza Mungu kwa kumuomba, Kumtukuza na kumshukuru kwa kila Jambo Utaendelea kuwa JUU, Utaendelea kuwa MAWINGUNI🔥🔥
CHIIIIIIIIII, Everybody SAY YEEEAH😂😂
Nawatakia wote JUMAPILI Njema🙏🏻🙏🏻

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad