Ruge kuzikwa kiheshima leo na maelfu ya watu Bukoba

Ruge kuzikwa kiheshima leo na maelfu ya watu Bukoba
Ruge Mutahaba ambaye alikuwa mmoja kati ya wahasisi wa Clouds Media, atazikwa leo Jumatatu March 4, 2019  huko nyumbani kwao Bukoba.

Mapema jana mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba uliwasili kiwanja cha ndege cha Bukoba majira ya saa 3 asubuhi na kupokewa na maelfu ya watu.

Wakati mwili umewasili jana wakazi wa Mji huyo walionekana wakilia kwa uchungu baada ya kumpoteza Ruge ambaye anadaiwa amewafungulia njia watu wengi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad