Saudi Arabia "Mtoto wa Osama Bin Laden Afutiwa Uraia


Hamza Bin Laden anayetajwa kubeba mikoba ya Baba yake Osama Bin Laden kwa kuwa kiongozi wa Kikundi cha Jihad

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 30 anatuhumiwa kwa kutoa vitisho vya kuishambulia Marekani

Aidha, Serikali ya Marekani imetangaza kumsaka Hamza Bin Laden na kutoa chachu ya donge nono la zawadi ya Dola milioni 1 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwake
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad