TCRA yakanusha taarifa iliyodai kutaja jina la kiongozi kwa utani faini Tsh. Milioni 5


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha taarifa iliyosambaa mtandaoni ambayo ilidai kuwa kutaja jina la kiongozi yeyote kwa utani kupitia sms faini yake ni Tsh. Milioni 5 au jela miaka mitatu. TCRA imewataka wananchi kupuuzia taarifa hiyo ambayo inaonekana hapo chini.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad