Unaambiwa Simba si Wakufuga Kama Mbwa...Ona Huyo Simba Alivyomgeuka Anayemfuga na Kumtafuna Nyama


Bwana huyu ambaye anawapendwa wanyama Michal Prasek ameuawa na simba wake kipenzi aliyekuwa anamfuga nyumbani kwake jijini Zdechov katika Jamhuri ya Czech.  Prasek alimnunua simba huyo 2016.

Babake aliyeupata mwili wake ndani ya zizi la simba aliwafahamisha waandishi wa habari kuwa zizi la simba lilikuwa limefungwa kwa ndani. Polisi waliwauawa simba hao wawili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad