Update: Mwili wa Ruge Waagwa na Maelfu Bukoba Safari ya Kuzika Yaanza

Update: Mwili wa Ruge Waagwa na Maelfu Bukoba Safari ya Kuzika Yaanza
MWILI wa mpendwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba kwa ajili ya sala, salamu za mwisho na kuagwa kabla ya kuzikwa kijijini kwao.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad