Ushauri Wangu Kwa Watengenezaji wa Ndege za Abiria "Kwanini Wasiweke Parachuti za Kujiokoa"


Nashauri kuwe na maparachuti katika kila siti ya abiria..
Kuna mfjmo nimewahi kuuona kwenye ajali nyingi za ndege kijeshi..huwa ikipata hitilafu au imeshika moto yule rubani sijui anafanyaje au nahisi Kuna button anaminya kisha anafyatuka juu na parachute linafunguka mgongoni mwake huku ndege ikielekea chini.
Kwanini hizi ndege za abiria zisiwe na huu mfumo?

Na huu mfumo uwe na access kwa mtu mmoja maalum..akishahisi ndege inaa hitilafu na kuelekea kuanguka sehemu ya juu inafunguka automatically na abiria wote wanarushwa juu ikiwemo marubani na air hostess, kisha parachute zinafunguka zenyewe automatically wanatua chini bila madhara

By Aggyjay
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad