Uuzaji wa Nyumba ya Michael Jackson Unasuasua Kutokana na Udhalilishaji Unaodaiwa Kufanyika

Nyumba inayotajwa kutumiwa na aliyekuwa msanii mkubwa duniani, Marehemu Michael Jackson kuwanyanyasa kijinsia vijana wa kiume wenye umri mdogo, imetangazwa kuuzwa kwa mara yingine tena

Nyumba hiyo ambayo ipo mjini California, inadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 31 ambazo ni zaidi ya bilioni 72 za Kitanzania

Nyumba hiyo inazidi kushuka thamani, ambapo mwaka 2016 ilikuwa na thamani ya dola milioni 100, mwaka 2017 ikawekwa sokoni kwa dola milioni 70 na sasa ni hiyo dola milioni 31

Kushuka kwa bei hiyo kunatokana na madai kwamba nyumba hiyo ilikuwa inatumika kwa matendo machafu ya unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wadogo yaliyofanywa na msanii huyo wakati wa uhai wake  - #regrann 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad