Web

Wanaokopesha Fedha Mitaani Watakiwa Kujisalimisha TRA

Top Post Ad

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amewaagiza Wafanyabiashara wanaokopesha fedha kwa watu mitaani mkoani humo kujisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) ili wakadiriwe kodi

Alisema kuwa "Kama wanafanya biashara hiyo bila ya kuwa na leseni ya biashara hiyo naagiza vyombo vya dola na mamlaka zingine zinazohusika ziwasake na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria."

Alieleza kuwa "Nimetoa uamuzi huo baada ya kubaini kuwepo na Wafanyabishara wanaokopesha fedha watu kwa riba kubwa na wanaposhindwa kufanya marejesho, hutaifisha mali zao zikiwemo nyumba."

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.