Watu 15 Wapoteza Maisha Kwenye Mlipuko Nchini Mogadishu

Mlipuko mkubwa, sauti za bunduki na mabomu imesikika ndani ya Hoteli ya Maka Al-Mukarama Mjini Mogadishu na kundi la Al-Shabaab linadaiwa kuhusika na tukio hilo

Mpaka sasa idadi ya majeruhi imeongezeka hadi kufikia watu zaidi ya 60


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad