Wema Sepetu "Nilipitia KIPINDI Kigumu Sana Nahisi Kuna Mtu Alinipumbaza"


Wema Sepetu amefunguka maisha yake ya nyuma na kusema haya:

“Nilipita kwenye kipindi kigumu sana jamani, nimerudi nyuma sana yaani kifupi naanza maisha upya na mpaka sasa siamini kile ambacho kilinitokea yaani kama mtu alinipumbaza"- WEMA SEPETU"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad