Aliyekuwa mlinzi wa rapper Nipsey Hussle, J Roc ameamua kustaafu kazi ya Ulinzi baada ya kifo cha Nipsey

Aliyekuwa mlinzi wa rapper Nipsey Hussle, J Roc ameamua kustaafu kazi ya Ulinzi baada ya kifo cha Nipsey
Aliyekuwa mlinzi (Bodyguard) wa msanii Nipsey Hustle aliyefariki duniani weekend iliyopita ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kufuatia kifo cha Rapper Nipsey Hustle.



Mlinzi huyo ambaye amekuwa akifanya kazi na Nipsey kwa muda mrefu amefunguka hayo katika mahojiano na chombo kimoja cha habari nchini Marekani na kusema Nipsey alikuwa sio mtu wakupenda sana kulindwa kila wakati kuna muda alihitaji kuwa peke yake hata wakati alipopata mauti hakuwa na ulinzi wowote.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad