Faiza Ally Afunguka Baada ya Mbunge Sugu Kusema Anamuunga Mkono Rais Magufuli

From Faiza Ally -  Baba Sasha yuko sawa kabisa kumuunga Rais Mkono , kwa sababu kama anaweza kumkosoa rais anapo kosea  kwa nini asimuunge mkono anapo patia ? Rais wetu ana fanya mengi mazuri , Mimi nampenda na naungana na baba Sasha na watanzania wote wanao muunga mkono Rais wetu Mh Magufuli , mm naona mema mengi na sio mema ana wajibika na namkubali sana ! wanachama lazima waelewe swala la vyama na la nchi ! Rais akifanya mazuri ni ya wananchi wote sio ya chama .

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad