Nchini Japan Wameamua Kuja na Ubunifu wa Kipekee, Wameanza Rasmi Kutoa Matikiti (Water Melons) Ambazo zina Maumbo Kama Cube au Boksi
Matikiti Haya Wanalima Katika Eneo Maalum lenye Uangalizi Mkubwa Sana na Hutumia Garama Nyingi zaidi Tofauti na Yale ya Kawaida lakini Pia Uzalishaji wake ni Mdogo Sana Kwa Mwaka
Lengo la Kutengeneza Matikiti Yenye Maumbo haya ni Ili Upakiaji wake Uwe Rahisi lakini Pia Walifanya Hivi Ili Kupata Muonekano wa Kipekee Zaidi
Matikiti Haya Yanauzwa $80 Kwa Kila Moja ambayo ni Sawa na Laki 184 Kwa Pesa za Hapa Tanzania
Japan Waja na Kilimo cha Matikiti Yenye Maumbo Mbali Mbali
0
April 25, 2019
Tags