Kamanda wa Al-shabab Akamatwa Somalia

Vikosi vya usalama vya Somalia vimemkamata kamanda mwandamizi wa kundi la al-Shabab kwenye operesheni ya mtego iliyotekelezwa jana jioni katika eneo la kusini mwa nchi hiyo.

Wizara ya Habari ya Somalia imesema raia wanne wamejeruhiwa katika operesheni hiyo, na baadaye kupewa msaada wa matibabu.

Vikosi vya usalama vya Somalia vikiungwa mkono na vikosi washirika vimeongeza operesheni zao za anga na ardhini dhidi ya wapiganaji wa kundi la Al-Shabab, licha ya kundi hilo kuendelea kupambana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad