Kampuni Boeing Imesitisha Uzalishaji wa Ndege Zake Aina ya 737 MAX

Kampuni Boeing Imesitisha Uzalishaji wa Ndege Zake Aina ya 737 MAX
Kampuni Boeing imesitisha uzalishaji wa ndege zake aina ya 737 MAX baada ya ajali mfululizo zilizoikumba aina hiyo ya ndege, ikihusisha ndege ya shirika la ndege la Ethiopia na ile ya Indonesia ambazo zote ziliua idadi kubwa ya watu.

 Boeing wamesema wanafanyia kazi Software ambayo itaondoa kabisa tatizo hilo.

Itakumbukwa kuwa Ndege ya shirika la ndege la Ethiopia ilipata ajali wakati ikitokea mji wa Adis Ababa kuelekea Kenya na watu wote 157 waliokuwa kwenye ndege hiyo walipoteza maisha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad