Kimenuka..Spika Ndugai Akabidhiwa Wito wa Wananchi 15,000 Kuhusu Suala la CAG

Wakati kampeni ya mtandaoni kupinga azimio la Bunge la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ikifikisha zaidi ya watu 15,000, waraka wa kampeni hiyo umefikishwa katika ofisi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad