Lionel Messi kukosa mechi zote dhidi ya Man United

Klabu ya Barcelona leo imethibitisha kuwa nyota wao Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki sita kufuatia maumivu aliyopata katika goti lake la kushoto jana jumapili kwenye mazoezi ya timu hiyo.

Imethibitishwa kuwa mchezaji huyo atakosa mechi sita za mwezi wa nne zikiwamo mbili za robo fainali klabu bingwa Ulaya dhidi ya Man United. Hii itakuwa ni habari nzuri kwa mashabiki wa Man United ambao walikuwa wakionekana kuwa na kazi nzto mbele wa miamba hiyo kutoka Uhispania kwenye ligi ya mabingwa  Ulaya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad