Moses Iyobo Azama Kimapenzi na Mkenya...Aunt Ezekiel Tupa Kule


Penzi la Dance wa Diamond Moses Iyobo na Mwigizaji Aunt Ezekiel kwa sasa inasemekana limeota mbawa, Moses Iyobo ameonekana akitesa na Mrembo anayetoka Kenya anayefahamika kwa jina Merisa, Pichani hapo juu inaonekana wakiwa katika nguo sare sare kitu ambacho walikuwa wanafanya na Aunt Ezekiel kabla hawajaacha.....

Moses Iyobo na Aunt Ezekiel  wana mtoto mmoja anayefahamika kama Cookie

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad