Mrembo Amber Lulu Ateswa na Ndoto za Mwanamuziki Young Dee



 MSANII aliyeibukia kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amesema kuwa anasumbuliwa na ndoto za mwanamuziki mwenziye ambaye waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi, David Ganze ‘Young D’. Akizungumza na Lulu alisema kuwa amekuwa kwenye wakati mgumu kwa sasa na haelewi kwa nini amemmisi sana mpenzi wake huyo wa zamani na kuna wakati anatamani kumfuata maana ndoto juu yake zimekuwa zikimtesa.


“Yaani sijui ni lini nimelala bila kumuota huyu mtu jamani, amekuwa akisumbua sana akili yangu na kama ananisikia apokee kilio changu,” alisema Amber Lulu huku akisisitiza kuwa amemkumbuka na hawezi kumwambia laivu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad