Mwanzilishi wa WIKLEAKS Akamatwa Uingereza

Mwanzilishi wa WIKLEAKS akamatwa Uingereza
Polisi wa Uingereza wamemkamata Muasisi wa mtandao wa habari chokonozi ‘Wikileaks’, Julian Assange katika Ubalozi wa Ecuador Jijini London Uingereza.

Assange alikimbilia katika Ubalozi huo miaka 7 iliyopita kuomba hifadhi ya kisiasa akihofia kukamatwa na kurejeshwa nchini Sweden ambako alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji wa Wanawake wawili nchini humo.

Ecuador imesema imemuachia Assange kwa kurudia kukiuka mikataba ya Kimataifa na wakati huo huo Polisi na wao wamesema wamemkamata Assange kwa kushindwa kujisalimisha Mahakamani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad