Nandy Amlilia Marehemu Ruge na Kutoa Siri Zingine, Aonyesha Mjengo Aliojengewa



Msanii wa Bongo Fleva ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliekuwa mpenzi wake na boss wa Clouds Media marehemu Ruge Mutahaba.
Kupitia Instagram Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge Huku pia akionyesha alivyommiss.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad