Neymar Amtembelea Pele Hospitali, Wakati ‘Legendary’ Huyo wa Miaka 78 Akipatiwa Matibabu


Staa wa Brazil, Neymar ametumia muda wake kuwa pamoja na legendari wa soka, Pele ambaye yupo hospitali kwaajili ya upasuaji.

Neymar (left) visited Pele (right) in hospital after the 78-year-old's emergency surgery
Mchezaji huyo wa PSG alipata nafasi ya kupiga picha akiwa pamoja na nyota huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 78 na kuweka kwenye Instagram, huku bingwa huyo mara tatu kombe la duniani akitarajia kurejea nyumbani kwake Jumanne hii.

Pele was mobbed by fans and media upon his return to Brazil on Tuesday from Paris
Neymar aliweka picha akiwa na Pele, ambaye amelala kwenye kitanda cha hospitali huku wakipeana mikono na kuandika ujumbe ‘king’.

The legendary former player managed to get out of a wheelchair and into a waiting car
Pele alikuwa Paris kwaajili ya kufanyiwa upasuaji kutokana na matatizo ya ‘UTI’.

Staa huyo amekuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya ‘American Hospital’ ya nchini Paris baada ya kukutana na Kylian Mbappe.

Pele will now spend some time recuperating from his medical procedure at home
Pele amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya kwa miaka kadhaa sasa, amewahi kuudhuria kwenye droo ya kombe la dunia mwaka jana huku akiwa kwenye kiti.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad