Ninavyo Vaa Nguo Ndefu Sio Kama Nina Miguu Chelewa - Wolper

Sina Miguu Chelewa - Wolper
STAA wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa amejikita kwenye mitindo ya mavazi, Jacqueline Wolper Massawe ameweka wazi kuwa siyo kwamba anavyovaa nguo ndefu ni kutokana na kukosa shepu au mguu bali anapenda tu.

Wolper alisema kuna wakati mwingine anaamua tu kujitafutia staili yake ya mavazi na ndiyo maana yeye mara nyingi anavaa nguo ndefu.

“Sina miguu chelewa na shepu ninayo pia siyo kwamba ninavyovaa nguo ndefu basi miguu yangu ni chelewa, hapana, niko vizuri sana,” alisema Wolper.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad