Nitasheherekea Naye kwa Vituo vya Polisi - Kamanda Mambosasa

Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amepiga marufuku disco toto kuelekea sikukuu ya Pasaka.

Akizungumza leo na EATV amesema kuwa atakayebisha agizo hilo ameahidi kuwa atasheherekea naye.

"Halitaruhusiwa kwa sababu hakuna aliyeleta maombi ili maombi yale yapelekee sisi kwenda kuchunguza ukumbi kama unakidhi vigezo vya usalama," amesema.

Ameendelea kwa kusema, 'Na kwa sababu hiyo kwa hiyo hakuna, sasa yeyote utakayefanya kwa kujiamulia nitasherehekea naye kwa vituo vya Polisi'.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad