Serikali Yampongeza Simba Yaitakia Kila la Heri Mechi Dhidi ya TP Mazembe

Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Simba kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Ameliambia Bunge kuwa serikali iko pamoja na klabu hiyo na inaitakia kila lililo la heri katika mechi yake ya kwanza ya robo fainali ya michuano hiyo dhidi ya TP Mazembe itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Jumamosi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad