Siwezi Kutoa Gari za Kuhongwa kwa Askari - RC Makonda

Siwezi kutoa Gari za kuhongwa kwa Askari - RC Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar Dar Es Salaam, Paul Mkonda amesema kuwa hawezi kuwapa askari wake magari watu wanahongwa mitaani ni lazima awape maghari yenye hadhi kidogo.

Makonda ameyasema hayo wakati Jeshi la Polisi nchini wakimalizia maadhimisho ya siku ya Polisi Tanzania, ambapo walikuwa katika Ukumbi wa Mlimani City kuwapatia Askari vyeti na zawadi Mbalimbali kama kuwapa motisha katika utendaji wao wa kazi.

"Askari mmoja akaniambia sasa Mkuu ka ICT kanakula mafuta kidogo, nikasema siwezi kumpa askari wangu gari ambalo mimi siwezi kutumia zile wanahongwa hongwa watu huko mtaani," alisema Makonda.

"Hata kama nakupa gari ndogo natakiwa nikupe yenye hadhi kigogo, sasa nitoe gari ambao watu wanahonga honga kule nimpe askari kweli?Alihoji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad