Tazama Hapa Makundi Yote Sita ya AFCON 2019..... Tanzania Imepangwa Kundi C na Timu za Senegal, Algeria na Kenya.

Tazama Hapa Makundi yote sita ya AFCON 2019..... Tanzania imepangwa Kundi C na timu za Senegal, Algeria na Kenya.
Hatua  ya upangaji wa makundi ya michuano ya Afcon ya Afrika imepangwa jana nchini Misri ambapo tayari Tanzania imewajua wapinzani wake watakaomenyana nao mwezi Juni nchini Misri.

Hafla hiyo ambayo ilihudhuriwa na wajumbe kutoka Tanzania wakiongozwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia pamoja na Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania, Emmanuel Ammunike ilishuhudiwa na Dunia nzima kupitia SuperSport

Tanzania ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza fainali hizo baada ya miaka 39, imepangwa Kundi C na timu za Senegal, Algeria na Kenya.

AFCON 2019 itaanza June 20 2019 mchezo wa ufunguzi ukiwa wa Misri wenyeji dhidi ya Zimbabwe na kumalizika July 19 2019.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad