Timu ya Juventus Yanyakua Ubingwa Tena, Ronaldo Aweka Rekodi

Klabu ya Juventus imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Seria A hapo jana baada ya kuinyuka klabu ya Fiorentina magoli 2-1 na kufikisha alama 87. 


Magoli ya Juventus yalifungwa na Alex Sandro na Pezzela aliyejifunga na goli la Fiorentina lilifungwa na Nikola Milenkovic. 


Huu unakua ubingwa wa 8 mfululizo kwa Juventus. 


Kwa ubingwa huu unamfanya Ronaldo kuwa mchezaji pekee kuwahi kunyakua ubingwa wa Ligi akiwa Hispania, Uingereza na Italia. 





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad