Uhusiano wa Pogba na Meneja Wake Waanza Kuzorota

Uhusiano wa Pogba na meneja wake waanza kuzorota
Usiano kati ya Paul Pogba na meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer umeanza kuzorota, kiungo huyo wa miaka 26 huenda akahamia Real Madrid. (Le Parisien via AS)
United inapania kumsajili kiungo wa kati wa Sporting Lisbon na Ureno Bruno Fernandes, 24.(A Bola - in Portuguese)

 Gareth Bale, 29, hayupo katika mpango wa Real Madrid msimu ujao, kuna tetesi kuwa klabu hiyo ya Uhispania itamruhusu kuchagua kalbu anayotaka kuhamia.
Tayari Manchester United na Bayern Munich wameonesha nia ya kutaka kumsajili kiungo huyo. (AS).
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad