Shabiki wa Simba Ramadhan Salum ambaye alitoka Mbeya mpaka Dar es Salaam kwa miguu huku akitumia siku 10 njiani, amefunguka kuhusu mchezo wao uliopita na TP Mazembe wa kufuzu nusu fainali ya klabu bingwa Afrika. Pia ameeleza mambo ambo ambayo aliyaficha katika safari yake hiyo.
VIDEO: