Video: Masanja Ameachia Ngoma yake Mpya ”Nii”, Itazame


Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameachia ngoma yake mpya ya dini inayoenda kwa jina la Nii.

Ni ngoma yenye ubunifu mkubwa ambayo haichoshi masikioni mwa msikilizaji ameimba dini ya namna ya kisasa ya bongofleva.

Itazame hapa chini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad