Vyama 8 vya Siasa vyafungua Kesi Dhidi ya Serikali

Vyama 8 vya siasa vyafungua kesi dhidi ya Serikali
Vyama nane vya Siasa nchini ikiwemo CHADEMA, CHAUMA, ACT Wazalendo,
Democratic Party, CCK, UPDP vimeungana na kufungua kesi katika mahakama ya Afrika Mashariki kupinga matumizi ya Sheria ya vyama Vya Siasa ambayo vimedai kuwa inakandamiza misingi ya demokrasia.

Mwenyekiti wa CHADEMA mhe. Freeman Mbowe amesema katika kesi yao wameomba mahakama ya Afrika Mashariki kutoa zuio la matumizi ya Sheria hiyo mpaka kesi yao ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa maamuzi na mahakama hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad