Wanaume 10 Walioingia Hifadhi ya Mikumi Kinyume na Sheria Watoweka

Wote ni wakazi wa Kijiji cha Ruhembe, inaelezwa kuwa waliondoka kwenda kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya Hifadhi ya Mikumi kinyume cha sheria

Waliingia ndani ya hifadhi hiyo mnamo Aprili 2 mwaka huu na baada ya hapo hawakurejea tena kwenye familia zao

Jeshi la Polisi limewataka Wananchi kuwa watulivu wakati jitihada za kuwatafuta zikiendelea  


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad