Watu watatu Wahofiwa Kufa Kwa Kufunikwa na Kifusi Arusha

Watu watatu wamefukiwa na kifusi kwenye Machimbo ya Moram Tanganyika Parkers KATIKA eneo la Moshono jijini Arusha.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shanna amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema shughuli za uokoaji bado zinaendelea.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad