Wavuvi Mtwara Nao Watii Agizo la Serikali

Wavuvi Mtwara Nao Watii Agizo la Serikali
HALI ILIVYO MKOANI MTWARA KWA SASA: Wavuvi mkoani Mtwara wameitikia wito wa Serikali wa kutojihusisha na shughuli za uvuvi leo, kufuatilia tahadhari ya kuwepo kwa Kimbunga cha Kenneth iliyotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa na kusisitizwa na mkuuu wa mkoa huo .

Licha ya wananchi kuelekezwa kuchukua tahadhari mbalimbali mpaka sasa hakuna tukio lolote la hatari limetokea huku mvua ikiendelea kunyesha mkoani humo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad