Wazee Mkoani Iringa Waishushia Maombi Bombardier

Image result for BOMBARDIERWAKATI wa Mkoa wa IRINGA jana, Aprili 29, 2019, walipokea ndege ya kwanza ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Dash 8 Q400, baada ya kutua katika uwanja wao, mapokezi ya ndege hiyo yaliongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Ally Hapi, wananchi pamoja na wazee wa kimila wa mkoa huo.



Katika mahojiano, wazee hao wamemmwagia sifa Rais Dkt. John Magufuli na kumshukuru kwa kutekeleza ahadi zake na kwamba ndege hiyo wameiona ni nzuri sana.



Aidha, wazee hao walifanya maombi maalumu kwa Rais Magufuli, Mkuu wa Mkoa, Ally Hapi pamoja na ndege za hiyo ya AIR TANZANIA.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad