Zari Aamua Kumuanika Mpenzi Wake Mpya Hadharani, Aunt Ezakiel Ashindwa Kuvumilia

Kutana na headlines za mastaa wakike mmoja kutokea Bongomovie ambaye ni Aunt Ezekiel na mwingine ni mrembo Zari the boss lady ambao wote wawili wameingia kwenye trending baada ya kupost picha za wanaume wanaoelezwa kuwa ndio wapenzi wao wapya baada ya mahusiano yao ya awali kudaiwa kuvunjika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad