Zari Alikuwa Anatoka na Peter wa Psquare, Niliwahi Kukuta Sms - Diamond

Msanii wa Muziki Bongo, Diamond Platnumz ameeleza kile kilichotokea kati yake na mzazi mwenzie Zari The Bosslady kudi kuachana kwao. .

"Namheshimu Zari ni mzazi mwenzangu, alikuwa wife material, alikuwa anatoka na Peter wa Psquare, niliwahi kukuta sms nikamuuliza. Alikuwa anachepuka pia na Trainer wake na alikua anamleta hadi kwangu, lakini sijawahi kufunguka, " Diamond ameiambia Wasafi FM.

Ameendelea kwa kueleza kuwa, "Na ukweli sijawahi kuachwa na Mwanamke, Ukizingua nitakupiga matukio utaondoka mwenyewe".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad