Baada ya Kushindwa Kula kwa Vijiti Hichi ndicho Alichokifanya Ommy Dimpoz “Sipendi ujinga”

Ukiongelea tamaduni za Kiafrika basi huwezi kuacha kutaja tamaduni ya kula kwa mkono ambapo waafrika wengi hutumia mkono kula chakula hii ni kutokana na historia ya miaka ya nyuma ambapo ilielezwa kuwa hakukuwa na teknolojia ya vitu kama vijiko, umma au visu.

Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz ameona sio mbaya kutembea na utamaduni wake wakiafrika wa kutumia mikono kula aliposhindwa kutumia chopsticks yaani vijiti vya kulia chakula vinavyotumika sana katika nchi za Asia.

“Ukishindwa Vijiti Use African way 😀😃Sipendi Ujinga Mimi” >>>Ommy Dimpoz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad