Balozi wa Uingereza nchini afanya mazungumzo na IGP Sirro

Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar wawili hao wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuendeleza ushirikiano.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad