Bilioni 14 za DECI Zaibuka, DPP Azionya Benki

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ameziasa benki zote nchini, zilizotumika kuweka sh. bilioni 14 za kampuni ya kusimamia shughuli za upatu (DECI) kwa mtindo wa kupanda mbegu na kuvuna fedha,  kutozigusa fedha zozote zilizoamriwa kutaifishwa na mahakama na zikibainika kufanya hivyo hatua kali zitachukuliwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa mahakamani.



Aidha, amesema mameneja wa benki hizo wanapaswa kuwa makini na kutambua kuwa mahakama tayari imeshatoa agizo na hivyo wasiruhusu kurubuniwa kuzihamisha kwenda kwenye akaunti nyingine.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad